Thursday, December 31, 2015

MAMA WA MITINDO NDANI YA DMV KUPAMBA USIKU WA MKESHA WA MWAKA MPYA KWA ONESHO LA MAVAZI NA KUIMBA NYIMBO ZA TAARABU

Mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini katika picha ya pamoja na Abdul Sebo na mjukuu wake. Mama wa mitindo leo kuwasha mota DMV kwa onesho la mavazi  ikiwemo kuimba nyiimbo za taarabu wa Khadija Baramia ikiwa ni kipaji kingine kutoka kwake usicho kifahamu.

No comments: