Familia ya Bi. Esther Etuttu inapenda kuwakaribisha Wote kwenye Misa ya Kumbukumbu ya Baba yao mpendwa Bw. Frank Reuben Etuttu, aliyefariki dunia November 28, 2015 huko Dar es Salaam, Tanzania.Misa itakua Jumapili, tarehe 20 December, 2015kuanzia saa Nane na Nusu Mchana (2:30 PM)The Way of the Cross Gospel Ministries.(at Faith Moravian Church)405 Riggs Rd. NEWashington, DC 20011Reception itafuata Baada ya MisaKwa habari zaidi, wasiliana na:Esther Etuttu 240 501 0624Aunt Nasra Ghassany 240-425-3587Juster Mutakyawa 301-404-6529Chanunu Wasswa 301-828-0671Tunakushukuru MwenyeziMungu Wetu Kila Tukukumbukapo Baba YetuKaribuni Sana
ANGALIA LIVE NEWS
Sunday, December 20, 2015
MISA YA KUMBUKUMBU YA BABA FRANK REUBEN ETUTTU DMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment