Thursday, December 31, 2015

PATI YA MWAKA MPYA YA JUMUIYA YA WATANZANIA SPRINGFIELD


Jumuiya ya Watanzania wa Springfield wanawakaribisha katika shughuli ya mwaka mpya itakayofanyika 

Joanna's Banguet Hall 
145 Main St( Route 190) Somers Connecticut, CT Alhamisi December 31st, 2015 kuanzia saa mbili usiku (8pm) mpaka saa nane usiku (2am) nyote mnakaribishwa na pia wafahamishe wengine.

Ni cash bar na hakuna kiingilio.

No comments: