Advertisements

Friday, January 1, 2016

MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WASAINI HATI YA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA BAADA YA KUAPISHWA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju wakishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi akiwapa maelekezo Makatibu wakuu na Naibu Katibu namna ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju wakishuhudia Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakiapa kabla ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016
Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakiapa kabla ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016

PICHA NA IKULU

No comments: