HOYCE TEMU AZUNGUMZA KUHUSU KUANDIKWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII (AUDIO)
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu ametoa hisia zake kuhusu kuandikwa katika mitandao ya kijamii kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm.
Unaweza kumsikiliza hapa chini wakati akizungumzia jambo hilo;
2 comments:
Anonymous
said...
This is ridiculous kwakweli,sheria ziwekwe za mitandao sio mambo ya kutukanana ovyo badala ya kusaidia jamii,you have done a lot in society you don't deserve this,
Mange kimambi kwa nini HASWA anatukana watu.kuolewa na mzungu ndio kuleta zarau .Watanzania kibao wameolewa na wazungu wamaana kuliko huyo mamas boy wako .mwanaume amerudishwa shule na wazazi wake .Mange bwana

Post a Comment