Monday, March 7, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI UNHCR ANAYEMALIZA MUDA WAKE BI. JOYCE MENDS-COLE IKULU JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake