Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata. (Picha Na Jumbe Ismailly)
Source: Michuzi Blog
Source: Michuzi Blog
2 comments:
Sio sahihi kuweka picha ya bibi wakati ya mtuhumiwa haiwekwi.Mtangazeni mtuhumiwa watu wajihadhari nae sio bibi.
Kwa mujibu wa kanuni na sheria za uandishi wa habari ni kuwa: iwapo mwadhirika (victim) wa shambulio la aibu (rape) ni 'underage' (1-18) basi hapo amri ya katazo ina apply. Lakini si kwa mtu mzima kwa tafsiri ya 'legal age' kama umri wa mwadhirika kwenye tukio hili liliripotiwa kuhusiana na huyu Mama/Bibi.
Hivyo hakuna kosa katika kuripoti taarifa hii au kuweka picha ya mwadhirika. Pengine itokee tu kwa 'amri' au 'katazo' maalum' la mahakama katika 'specific' case iwapo familia au upande wa mashataka utaomba mahakama kutoa katazo hilo.
Post a Comment