Mama Caren kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan akizungumza katika makabidhiano hayo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega na kushoto na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan.
(Picha zote na Raphael Malekela)
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdalah ulega akifungua bomba la maji huku baadhi ya wananchi wakishuhudia katika kata ya Mkamba kijiji cha Tungi katika hafla fupi ya kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa kwa ufadhiri wa Taasisi ya kimarekani ya African Reflections Foundatioan wiki hii, katika picha mwenye kofia anayeshuhudia ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan na kushoto ni Diwani Kata ya Mkamba Bw.Dunga Hassan
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdalah ulega akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Mkamba kijiji cha Tungi katia hafla fupi ya kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa kwa ufadhiri wa Taasisi ya kimarekani ya African Reflectins Foundatioan, kulia ni Mama Caren kutoka Taasisi ya African Reflectins Foundatioan na kushoto ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi huo.
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan akizungumza jambo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega akifurahia wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji katika kijiji cha Tungi wilaya ya Mkuranga.
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan na mama Caren kutoka taasisi hiyo pia wakikabidhi madawa ya majikwa mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega.
Mbunge wa mkutanga Mh. Abdallah Uleha na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan wakiimba pamoja na akina mama wakati wa makabidhiano hayo.
Mbunge wa jimbo la Mkuranga akisalimiana na wanakikiji ambao ni wapiga kura wake wakati alipowasili katika kijiji cha Tungi Mkuranga.
Mbunge wa jimbo la Mkuranga akizungumza na akina mama wakati alipowasili kijijini hapo.
Akina mama mbalimbali wakiwa katika makabidhiano ya mradi huo.
No comments:
Post a Comment