Zawadi mbalimbali alizozawadiwa Neema Mponi kwenye baby shower yake iliyofanyika Washington, DCTuner Elementary school siku ya Jumamosi April 16, 2016
Ndugu, jamaa na marafiki wakihudhuria bay shower ya Neema Mponi iliyofanyika siku ya Jumamosi
Baby shower ya Neema Mponi ikiendelea.
Marafiki wa Mponi wakihudhuria baby shower ya mke wake Neema.
No comments:
Post a Comment