Hawa kama CUF waende kwa MCC. Wapo nchi gani hii ambayo badala ya kufanya kazi kila Ofisi ina TV kuwasikiliza vioja vyao? Machozi ya Mamba hayo! Serikali iwapuuze iendelee kutumbua majipu. Hawa walikuwa wanatumbua majipu awamu iliyopita likiwemo la Lowassa leo wanapinga na kuwatetea wanaotumbuliwa? Kweli maajabu hayana mwisho.
Off course UKAWA uwezi kuona usawa inapokuja kwenye maamuzi na utendaji wa serikali. Ila kuweza kujikomboa kikamilifu katika hiyo hali inabidi kuweka nguvu zote ili kulichukua bunge na siyo kutaka kwenda Ikulu. Hilo litawawezesha UKAWA kuiweka serikali kwenye mstari badala ya kutumbua majibu inatumbua vipele.
Hawa kama CUF waende kwa MCC. Wapo nchi gani hii ambayo badala ya kufanya kazi kila Ofisi ina TV kuwasikiliza vioja vyao? Machozi ya Mamba hayo! Serikali iwapuuze iendelee kutumbua majipu. Hawa walikuwa wanatumbua majipu awamu iliyopita likiwemo la Lowassa leo wanapinga na kuwatetea wanaotumbuliwa? Kweli maajabu hayana mwisho.
ReplyDeleteOff course UKAWA uwezi kuona usawa inapokuja kwenye maamuzi na utendaji wa serikali. Ila kuweza kujikomboa kikamilifu katika hiyo hali inabidi kuweka nguvu zote ili kulichukua bunge na siyo kutaka kwenda Ikulu. Hilo litawawezesha UKAWA kuiweka serikali kwenye mstari badala ya kutumbua majibu inatumbua vipele.
ReplyDelete