Friday, April 22, 2016

SHUKRANI KWA KUWA NASI KWENYE MSIBA WA MTOTO WETU ESTHER


Familia ya Emmanuel na Hawarita Nnko tunatoa shukrani za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote walio tusaidia kufanikisha mazishi ya mtoto wetu Esther Nnko.  Kwa msaada wenu wa hali na mali tumefanikiwa kumpumzisha mtoto wetu Esther jana, Jumatano, April 20, 2016 kwenye makaburi ya Fort Lincoln.

Mtoto wetu Esther alizaliwa March 21, 2015 na kufariki April 9, 2016.  Tunawashukuru wote kwa moyo wa upendo, ushirikiano na msaada mlio uonyesha kwenye kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mtoto wetu. Hatuna cha kuwalipa kwa fadhira zenu bali tunaomba mnyezi Mungu aendelee kuwabariki, kuwalinda na kuwaendelezea upendo mlio onyesha

BWANA AMETOA: BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE

The Nnko Family

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake