Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na
Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea
zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa
mwaka kitaifa kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment