Huyu baba alikuwa wapi miaka yote mpaka binti amefikia umri huu mtu mzima? Mtoto sio kutia mbegu tu, lazima utoe matunzo. Kama aliingia mitini atokomèe. Kama binti atahitaji kumtafuta huo ni uamuzi wake.keshakuwa mkubwa wala mama hawezi kumzuia kuongea na babake
4 comments:
Kwahiyo sasa unataka nini na tukusaidie nini????
Ulileya. Wewe
Huyu baba alikuwa wapi miaka yote mpaka binti amefikia umri huu mtu mzima? Mtoto sio kutia mbegu tu, lazima utoe matunzo. Kama aliingia mitini atokomèe. Kama binti atahitaji kumtafuta huo ni uamuzi wake.keshakuwa mkubwa wala mama hawezi kumzuia kuongea na babake
Wewe baba ulikuwa unasubiri wakulelee mtoto? Kama ulikuwa unajua mbona hukumtunza? Husitie aibu bwana! Ninyi ndio ma baba jina...
Post a Comment