ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 2, 2016

KING DREW 404 AAGWA NA WATANZANIA KUTOKA KILA KONA ZA MAREKANI HAIJAWAHI KUTOKEA.

KING DREW 404 AAGWA NA WATANZANIA KUTOKA KILA KONA ZA MAREKANI HAIJAWAHI KUTOKEA.
Hapa ni mzazi mwenzie Andrew na mtoto wao mpendwa Zoe wakiwa mbele ya mwili wa marehemu.Mwili wa marehemu utawasiri Dar_Es_Salaam siku ya jumanne  na jumatano ndugu na jamaa wa Dar_Es_Salaam  wata Ibada ya misa na kuaaga mwili ndani ya kanisa la Lutheran nyuma ya Ubungo Plaza siku ya jumatano asubuhi kisha safari ya Dodoma jioni na mazishi yatafanyika siku ya Alhamis May 05.
Mwakilishi wa ubalozi wa Tanzania hapa Marekani angeongea mbele ya watu waliojitokeza ndani ya kanisa kwa ajili ya Ibada ya misa na kuaga mwili wa Andrew.
Mtoto wa Marehemu akiwa mbele ya mwili wa baba yake uku akiwa ameshikiliwa na Wash rafiki wa marehemu kutoka Ohio.
Mzazi mwenza wa marehemu Andrew akitoa neno mbele  ya watu waliojitokeza kuja kuaga mwili wa marehemu. 

Michael Nyanda rafiki wa marehemu akitoa machozi mbele ya mwili wa marehemu. Kwa Taswira zaidi ya kila kilichokuwa kimendelea siku hiyo ya Tar, 30 nenda soma zaidi.

Wash kutoka Ohio akiwa  na majonzi mbele ya mwili wa marehemu 

Majonzi kwa kila mmoja aliepita mbele ya mwili marehemu.
Wengine walishidwa hata kuangalia sura ya marehemu kwani ilikuwa ni ngumu kuamini.
Ny Ebra kutoka New York nae ni mmoja kati ya watu waliotoka nje ya Houston, Texas kwaajili ya kuaaga mwili wa Andrew, hapa Ebra akipata ukodak na Emmy mzazi mwenza wa marehemu Andrew na mtoto wao Zoe nnje ya kanisa baada ya kuaaga mwili pamoja na Ibada ya misa. 
Mzazi mwenza wa marehemu Emmy Matafu pamoja na mtoto wake Zoe katikati. 

Marafiki kutoka North Carolina na Atalanta .





6 comments:

Anonymous said...

VERY VERY SAD....ni ngumu kuamini our own Andrew is gone, just like that!
He was indeed a great person, inside out...We are going to miss his charm self :(

Anonymous said...

RIP bro

Anonymous said...

sema la kweli huyu marehemu simjui ila inaonyenyesha ni jinsi gani watu walimpenda na alikuwa na upendo na watu sana. ibra unatakiwa kushinda tunzo kwa kweli good job

Unknown said...

Mungu awabariki kwa upendo wenu mmeonyesha kwa ndgu yetu �� RIP our beloved

Anonymous said...

Mungu amuwekee mahali pema peponi inshaallah !!!justice has to be done..naomba wana jumuiya tusimamie hii kitu tusikae kimyaa please !!!!

Emeth Enterprises (T) Limited said...

UKWELI UPO DHAHILI KWAMBA JAMAA ALIKUWA MTU WA WATU KWA JINSI TUKIO LA KIFO CHAKE LILIVYOKELEWA.