SALAMU ZA PONGEZI KWA MH. DR. ASHA ROSE MIGIRO
Uongozi wa Tawi la CCM-NY unatuma salamu za pongezi kwa Mh. DR. Asha Rose Migiro kwa kuteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Wanachama wa CCM-NY wanakutakia afya njema na kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu yako ya kuiwakilisha nchi Tanzania.
IMETOLEWA
GASTON MKAPA
KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI
CCM-NY
No comments:
Post a Comment