ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 11, 2016

HAPPY BIRTHDAY


Mtoto Junior JJ akicheza muda mfupi kabla sherehe.

Bwana na Bibi Joseph Msami wakiwa na watoto wao Frida na Junior wakati wa hafla ya mwaka mmoja wa kuzaliwa kwa Junior maarufu kwa jina la Popinyo iliyofanyika New Jersey mwishoni mwa juma.

No comments: