ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 30, 2016

YALIYOJIRI KATIKA MECHI KATI YA TAIFA STARS VS HARAMBEE STARS

Kikosi cha kwanza cha timu ya Soka ya Tanzania -Taifa Stars kilichoanza dhidi ya Harambee Stars ya Kenya Jumapili.
 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (Kulia) akichuana na David Odhiambo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika Uwanja wa Moi Kasarani, Nairobi Kenya. timu hizo zilitosahana nguvu kwa kutoka sara ya 1-1.

Winga wa Taifa Stars, Shiza Ramadhani akichuana na beki Joakins Atudo wa Harambee Stars katika mchezo huo.  

1 comment:

Anonymous said...

Vijana wa taifa stars kidogo wameonyesha uwezo ila nngewaomba wakaze zaidi ya hapo huenda ikawa cku moja tukacheza world Cup