ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 5, 2016

ZIFF Press Conference 05/05/2016


ZIFF 2016 Announces Film Selection with Strong East African Presence
___________________________________________________________________

The Zanzibar International Film Festival is excited to announce the final film selection for this year’s event, taking place from July 9th -17th 2016. With a record 490 films submitted from 32 countries, this year’s competition promises to be the most exciting to date.

The ZIFF panel have selected 80 films to compete under 5 different jury categories; 59 General Competition, 15 Sembene Ousmane; 12 Bongo movies, and 6 films in this year’s newest jury category, The Emerson of Zanzibar Award recognizing films about Zanzibar’s culture and history.

The last competition for Music Video production will also take place this year with videos nominated for competition will be revealed at end of May being shown during the plenary sessions of ZIFF in the Old Fort Amphitheatre.


One of the most exciting developments in this year’s selection is the substantial increase in the quantity and quality of films from Tanzania with the greatest number of entries from Tanzania ever received. Over 40 films were received for competition and this year we have 4 films from Tanzania competing in the Sembene Ousmane Competition. All of East Africa features strongly in this year’s selection with five from Kenya, and three from Uganda, and two from Rwanda.

In 2016, three World Premieres will take place, with the screening of three films funded by ZIFF and GIZ (German Development Cooperation Agency) through the Sembene Ousmane award. The three 2015 winners who were each given $2000 to produce a new film will premiere their new films in this year’s competition.

ZIFF’s global reach continues to expand with films from Estonia and Albania make their first appearance at ZIFF in addition to films from Bangladeshi, Finland, Trinidad and Tobago, Bermuda among others.

ZIFF continues its commitment to film development and education with the announcement of two film workshops during the festival. The first workshop on Cinematography will be run by Barry Bravermann, an official tester of many film equipment producing companies such as Panasonic and Sony. The workshop will focus on how to get the best out of the Canon D5 camera but also work on visual storytelling.

Another workshop, sponsored by the Goethe Institute in Dar es Salaam, is and Animation Workshop that will focus on enhancing skills of young Tanzanian artists. 15 students from secondary and high schools will be especially selected and trained with the aim of encouraging new skills for school leavers. The arts do employ many school leavers and ZIFF has been joined by Goethe Institute to enhance employment and professionalism in the arts through this type of training..
For full details and costs on the workshop please visit the ZIFF website, www.ziff.or.tz

The full list of films selected for ZIFF 2016 can also be found on the website. Also make sure to like us on Facebook: https://www.facebook.com/ZanzibarInternationalFilmFestival/
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------- / ENDS

ZIFF 2016 Announces Film Selection with Strong East African Presence
___________________________________________________________________

Tamasha la filamu la Zanzibar (ZIFF) limetangaza majina ya filamu zitakazoshindanishwa hapo ifikapo Julai 9 hadi 17. Tamasha lilipokea jumla ya filamu 490 kutoka nchi 32 mwaka 2016.

Jopo la wachaguzi limependekeza filamu 80 ndio zitakazoshindanishwa katika makundi matano maalum: Kundi la Kawaida 59, Sembene Ousmmane 15, filamu 12 Bongo movies.  Nyingine 5 ni la kundi jipya kabisa la filamu zinazoizungumzia Zanzibar itakayopata tuzo ya Emerson.

Kutakuwepo pia mashindano ya Video za Muziki ambazo zitatangazwa mwisho wa mwezi Mei na hizi zitaoneshwa katika maonyesho yanayofanyika katika Ngome Kongwe.

Jambo la kukumbukwa zaidi mwaka huu nikuongezeka kwa jumla ya filamu za kitanzania katika mashindano. Filamu zaidi ya 40 zilitumwa kwa mashindano kwa ujumla na mwaka huu filamu 5 za kitanzania zitashindanishwa katika jopo la Ousmane Sembene kati ya filamu 17.

Kwa ujumla filamu toka Afrika mashariki zinazoingia katika mashindano zimeongezeka pia ambapo kuna 8 toka Tanzania, Kenya 5, Uganda 3 na Rwanda 2.

Mwaka huu kutakuwa na filamu 3 ambazo zitaoneshwa kwa mara ya kwanza duniani  katika tamasha la ZIFF. Filamu hizi zimedhaminiwa na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ) wakishirikiana na ZIFF. Washindi watatu wa shindano la Sembene Ousmane mwaka 2015 walipewa $2000 kila mmoja kuwawezesha kutengeneza filamu mpya katika kipindi cha mwaka na kuzituma tena ZIFF kwa kushindanishwa na nyingine.

Mvuto wa tamasha unazidi kukua ukiangalia kuongezeka kwa nchi zinazotuma filamu. Mwaka huu Estonia na Albania zimetuma filamu zikiungana na nchi nyingine kama Bangladeshi, Finland, Trinidad and Tobago, Bermuda na nyinginezo.

ZIFF pia inaendeleza mchango wake katika tasnia ya filamu kwa kutayarisha warcha maalum juu ya utengenezaji filamu. Mwaka huu ZIFF imetangaza warsha mbili. Ya kwanza ni juu ya matumizi bora ya Camera ya Canon D5 itakayoendeshwa na Barry Braverman toka Marekani ,aliyeifanyia kazi Panasonic na Sony katika kujaribisha vifaa vyao.

Warsha nyingine ni ile itakayodhaminiwa na Goethe Institute ya Ujerumani itayofunza watoto wa shule ufundi wa kutengeneza vikaragosi katika filamu. Hii inatokana na kutambua nafasi ya sanaa katika kukuza vipaji na kuwatayarisha watoto wasanii kwa ajira, uadilifu na ubunifu.
Kwa maelezo zaidi na kupata listi ya filamu zilizochaguliwa tembelea tovuti ya www.ziff.or.tz  na pia tafadhali tu-like katika Facebook

----------------------------------------------------------------------------------------------------- /MWISHO/ ENDS

No comments: