ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2016

KIJIPU UPERE KATIKA OFISI YA MTAA WA MATUMBI (TABATA)

Hapo kushoto ni ofisi ya mtaa wa Matumbi iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam sasa nayo imegeuka sehemu ya kutupia taka. Sasa suala la kujiuliza kuna tatizo gani maana kuna hata maandishi yanayokataza kutupa taka eneo hilo na ofisi ya mtaa huo lakini bado ni tatizo sana kwa wananchi pamoja na viongozi wa mtaa huo kushindwa kukemea hali hiyo inayopelekea ofisi kuonekana chafu. Picha na Geofrey Adroph.

No comments: