ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 22, 2016

WANAFUNZI WA MIAKA 13 KIDATO CHA PILI AJIFUNGUA MTOTO KILO 2

Bango kuu la hospital ya mkoa wa singida 
Mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 13 akiwa na mtoto wake akinyonyesha katika wodi ya wazazi walijifungua kwa njia ya uperesheni kutoka na nyonga zake kuwa ndogo 
Mtoto mwenye kilo mbili 2 akiwa na afya njema akiwa na siku moja toka kuzaliwa 
lANGO kuu la Hospital ya mkoa wa singida ambapo mwanafunzi wa kidato cha pili Mwenye miaka 13 ajifungua 
Wodi ya kinamama Ambao wamejifungua kwa njia ya uperesheni katika hospital ya mkoa wa singida

SINGIDA
Wanafunzi wa shule ya sekondari miaka(13 ) Amejifungua Mtoto wa kiume mwenye kilo mbili kwa njia ya uperesheni baada ya nyonga zake kuwa bado hazijakooma kwa kuzaa kwa njia ya kawaida.

Hayo alisema kaimu mganga mfawidhi wa hospital ya mkoa wa singida Dr Ng’hungu kuzenza alisema kuwa wanafunzi huyo aliletwa na mama yake mzazi toka eneo la kalakana na kusema kuwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya igunguno ambapo alikuwa akisoma hapo.

Aidha Dr kuzenze alisema kuwa mwanafunzi huyo halilazwa hapa tarehe 9 mwenzi huu akiwa mjamzito wa kujifungua tulifanya vipimo vyote kuona kama anauwezo wa kujifungua kwa njia ya kawaida kwa kuwa umri wake wa kujifungua kwa njia ya kawaida ni mdogo, kutokana na umri wake.

HABARI NA PICHA KWA HISANI YA MOHAB MATUKIO

4 comments:

Anonymous said...

Je alianza shule ana miaka mingapi? Miaka 13 kidato cha pili?

Anonymous said...

Miaka 13 itakuwa ni mtoto na mtoto mwenzie.
Ila kilo mbili uzito sio mbaya. Average for full term babies I believe is 2.5 kg.

Anonymous said...

13 ni mtoto wa darasa la sita.. hii habari ina walakin....au amekosea alitaka kusema 15

Anonymous said...

Wewe hujui siku hizi watoto wanamaluza la saba na miaka 11. Bado unakumuka enzi za kushika masikio. Wamruhusu kuendelea na masomo baada ya kupimzika mwaka mmoja.