ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 18, 2016

DK. SHEIN ASHIRIKI KATIKA KHITMA YA MZEE ABOUD JUMBE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja jana jioni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamu wakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja jana jioni.

Viongozi mbali mbali waliojumuika katika Kisomo cha Dua ya Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawar Mwembe Shauri Mjini Unguja jana jioni.
Miongoni mwa Waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika msikiti wa Mushwawal Mwembe Shauri Mjini Unguja wakisoma dua ya Khitma jana ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani.
Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi na Wananchi na waislamu walioshiriki katika Khitma ya Dua ya kumuombea Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi,Iliyosomwa jana katika Msikiti wa Mushawara Mwembe shauri Mjini Unguja.

No comments: