Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC
Prosper Yenda yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U)
ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan
kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akiwa katika
picha ya pamoja na askari 14 wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi
(S.F.U) ambao wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya
kupambana na uhalifu na wahalifu. (Picha na Tamimu Adam- Jeshi
la Polisi).
No comments:
Post a Comment