Timu ya Real Madrid wametwaa taji la Super Cup ya UEAFA usiku wa August 9 2016 katika Uwanja wa Lerkendal mjini Rosenborg, Norway baada ya kuwafunga kwa Sevilla 3-2 ndani ya dakika 120.
Real iliyowakosa nyota wake kama Pepe, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo, Mabao yalifungwa na Marco Asensio dakika ya 21, Nahodha Sergio Ramos dakika ya 90 na Dani Carvajal dakika ya 119, wakati ya Sevilla yalifungwa na Franco Vazquez dakika ya 41 na Yevhen Konoplyanka dakika ya 72.
No comments:
Post a Comment