ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 29, 2016

DIASPORA SIKILIZENI HII KWA MAKINI

8 comments:

Anonymous said...

Sanaa in this country will never end!!.waiteni wale ndugu zetu wa dawati la diaspora pale foreign affairs wa clarify hii kitu.
Ina maana diaspora akitaka kujenga nyumba ya kuishi anapaswa kuomba kibali cha kukodisha ardhi TIC?

Anonymous said...

Mh. Waziri ni vyema ukaanza na hao walio sign hizo document, seriakli ime oza sana.Sio kwamba una muumbua mfanya biashara, la hasha una ianika serikali yako pia

Anonymous said...

Kuna watu walikuwa wanasema ukiwa raia wa marekani, unaweza kufanya kitu chochote nyumbani hivyo dual cirizenship ni kupotezeana muda. No, you cannot.

Anonymous said...

Kwa huu mwendo, Tutamkumbuka Kikwete.

Anonymous said...

Kwa kauli hii inamaana ile hoja ya hati maalum kwa diaspora ilikuwa changa la macho!!!

Anonymous said...

Wazungu na wahindi ambao wamepewa uraia wa Tanzania, kwenye nchi zao za asili wana haki maalum. Sasa sisi serikali yetu inafanya kila jitihada ya kuwanyanyasa watanzania wa asili. It is a shame.

Anonymous said...

Mdau hakukua na honesty kwa Kikwete kwenye hili jambo,alilokuwa anafanya Kikwete ni kukwambia yale uliyokuwa unataka kusikia lkn behind the back anafanya yake..Ni bora kudeal na mtu asiye kupenda mwanzo- mwisho kuliko asiyekuhitaji lakini anakupa smile.

Anonymous said...

Serekali ya Tanzania ni vichwa vibovu, wacheni kuishi karne ya 15, Nchi nyingi sana zilizo na zinazo endelea zinaruhusu wananchi waliozaliwa nchi yao kuishi na kuinvest kwenye hiyo nchi, kama kumiliki ardhi na kadhalika, ila serikali ina wivu sana ndio maana hatuendelei, just look around you, Kenya, Uganda, Rwanda na nchi kadhalika, hivi vitu vyote vinavoongelewa hapa na kawaida tu, TZni big deal, tisha toto nyingi, wakati wakubwa wote wototo wenu wote wana uaraia wa nchi tafauti.. Kikwete alikuja hapa akatupiga changa la macho makofi na vigelegele kibao..WTF mpaka leo baado tunaomba same thing tulioomba miaka 10 iliyopita ndio tutafika kweli!!