Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akajadiliana jambo na Mfalme wa Morocco Mohamed VI kabla ya
kuagana nae katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpokea Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati alipowasili katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Mfalme wa Morocco Mohamed VI kabla ya
kuagana nae katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimshukuru Mfalme wa Morocco Mohamed VI mara baada ya
kumaliza ziara yake ya kikazi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakiangalia
bendi ya matarumbeta iliyokuwa ikitumbuiza katika ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati nyimbo za Taifa zikiwa zinapigwa katika ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipunga mkono kuagana na mgeni wake Mfalme wa Morocco
Mohamed VI aliyemaliza ziara yake ya kikazi na kuondoka jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment