Missy Temeke akiwa katika vazi lake la kizalendo kabla ya kuingia kwenye sherehe za Uhuru zilizofanyika jijini Oakland, California siku ya tarehe 10/12 katika ukumbi wa California Ballroom |
Missy Temeke akipiga picha na mmoja wa ma-designer (Muky) ambaye ni supporter mkubwa wa Kwetu Fashion |