Saidi, Nuru na Kuluthumu Mwamende Wakiwa na Watoto wao Nabil na Allytza
Familia ya Kina Mwamende
inapenda kutoa Shukurani za dhati kwa ndugu na jamaa wote katika kipindi hiki
kigumu cha Msiba wa Mama . Tunawashukuru nyote kwa faraja mliotupatia toka
msiba ulipotokea kwa kutupigia simu, kuja kutuona na michango yenu ya hali na
mali. Mwenyezi mungu muweza na muumba wa yote atawalipa pasipo na kipimo.
Umoja,upendo na ushirikiano mliotuonyesha hatutoweza
kuusahau.
Asanteni:
Saidi, Nuru na Kuruthumu
Mwamende
Saidi Mwamende Akitoa shukurani





























































No comments:
Post a Comment