Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba akikagua silaha haramu
zilizoandaliwa kwa ajili ya kuteketezwa wakati wa zoezi la uteketezaji
wa Silaha hizo lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu
5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali
katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa mchini ambazo
zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Silaha haramu zikiwa zimepangwa katika uwanja wa Lake Tanganyika tayari kwa uteketezaji wakati wa zoezi hilo lililofanyika mkoani kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa mchini ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba akiangalia silaha aina ya SMG iliyotengenezwa kienyeji ambayo ni mojawapo ya Silaha zilizoteketezwa wakati wa zoezi la uteketezaji wa Silaha haramu lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa mchini ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba akibonyeza kifaa maalumu
kwa ajili ya kuwasha moto wa uteketezaji wa Silaha haramu wakati wa
zoezi la kuteketeza Silaha haramu lililofanyika mkoani Kigoma ambapo
jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi.Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Generali Emmanuel Maganga
Silaha haramu zikiwaka moto wakati wa zoezi la kuteketeza Silaha haramu lililofanyika mkoani kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608 zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali katika kupambana na uzagaaji wa Silaha haramu hapa mchini ambazo zimekuwa zikitumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa
mkoa wa kigoma waliojitokeza kushuhudia zoezi la la kuteketeza Silaha
haramu lililofanyika mkoani Kigoma ambapo jumla ya Silaha haramu 5,608
zimeteketezwa na Jeshi la Polisi ikiwa ni juhudi za Serikali kupambana
na uhalifu hapa nchini(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment