ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 13, 2017

MSAADA KWA MTOTO CATHERINE UNAHITAJIKA

Huyu ni mtoto Catherine Rukunye, ana umri wa miaka 13. Ni mlemavu wa viungo, hawezi kutembea,na haongei. Lakini ana uwezo wakusikia na anaelewa anachoambiwa. Catherine hakuzaliwa mlemavu, alipata tatizo hili wakati anaanza kukaa. Mtoto huyu hana baba. Baba yake alifariki akiwa na umri wa miaka 3 tu.Kwa sasa, anasoma shule ya watoto wenye ulemavu inayoitwa St.Bernard iliyoko Dar es salaam eneo la Mbezi Luis.Catherine anaishi na mama yake mzazi Flora Alphonce ambaye anaomba wasamaria wema msaada kwa ajili ya ada ya shule na anaomba ufadhili kwa vile mama yake hana kipato cha kutosha kumtunza mwanae.Kwa atakayeguswa anaweza kuchangia kupitia Account no 0112014797900 CRDB bank au M-pesa no 0745 196 682.Mungu awabariki sana.

No comments: