Missy T akijiandaa kuwapokea wageni wake siku ya Jumapili June 18, 2017 yeye na mumewe walipowakaribisha ndugu, jamaa na marafiki kwenye futari ya nguvu nyumbani kwao Silver Spring, Maryland.
Missy T (kushoto) akipata picha ya kumbukumbu na wageni wake waliowasili nyumbani kwake.
Missy T akipatapicha ya pamoja na wakeni.
Missy T (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Dullah Yoo na mkewe.
Ustaadh kuleteni ( wa tatu toka kushoto) akiongoza kisomo kabla ya futari wengine toka kushoto ni Seif Ameir, Mohamed Matope (baba mwenye nyumba) na Mwinyi Mkwavi (kulia)
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment