Advertisements

Monday, June 19, 2017

TAASISI YA TEMBEA PAMOJA KUTOKA CHINA YATOA MSAADA WA NGUO KWA WAATHIRIKA WA MVUA NA WAZEE WASIOJIWEZA

WANANCHI wa Wilaya ya Chake waliothirika na mvua na wazee wasiojiweza, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, wakati alipokuwa akizungumza nao kabla ya kukabidhiwa kwa msaada wa Nguo, kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo hilo Suleiman Said Sarahani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akibadilishana mawazo na Viongozi wa Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China, kabla ya kukabidhi Msaada wa nguo kwa wananchi wa Chake Chake kwa kushirikiana na mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Jimbo la Chake Chake Mhe:Suleiman Sarahan Said, akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo kabla ya kukabidhi msaada wa Nguo kwa watoto walioathirika na Mvua na Wazee wasio jiweza.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWAKILISHI wa Taasisi ya Tembea Pamoja kitoka China, Kang Ok Shion akizungumza na wananchi wa Jimbo la Chake Chake, kabla ya kuwakabidhi nguo kwa kushirikiana na mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, zungumza na wananchi wa Jimbo la Chake Chake, kabla ya kukabidhiwa msaada wa nguo kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo hilo na Taasisi ya Tembea Pamoja kutoka China.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akiangalia mloja ya nguo watakazopatiwa wanafunzi wa Jimbo la Chake Chake kutoka kwa mwakilishi wa jimbo hilo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Habari kwa hisani ya ZanziNews

No comments: