ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 20, 2017

TASWIRA YA IFTAR NYUMBANI KWA MH. BALOZI MODEST MERO DOBBS FERRY NEW YORK.


Muwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Modest Mero akiongea mbele ya wageni waalikwa baada ya Iftar iliyofanyika nyumbani kwake Dobbs Ferry NY.

Mh. Mero ni kipenzi cha Watanzania hapa New York kutokana na utashi wake na katika ujumbe wake mbele ya wa geni waalikwa alisisitiza Watanzania kuwa wamoja bila kujali rika , dini, wala jinsia., 

Mh. Balozi akichukua chakula. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Mh. mero akipata ukodak na wageni.



No comments: