Familia ya Linga inasikitika kutangaza kifo cha mama ya mke wa Mussa Linga kilichotokea leo Alhamisi July 6, 2017 Tanzania.
Kama ilivyo mila na desturi kupeana pole ni jambo la ungwana, msiba DMV upo
3234 Chillum Rd,
Hyattsville, MD 20712
Kwa taarifa zaidi na maelekezo usisite kuwasiliana na
Mussa Linga 202 421 0313
Aunty Moza 240 722 2670
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzio
No comments:
Post a Comment