Advertisements

Sunday, July 23, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA

Image may contain: 1 person, smiling, outdoor
SUED AHMED OTHMAN enzi ya uhai wake

Familia ya SALMA JJ NA NURU KINYEMI wanatangaza msiba wa kaka yao SUED AHMED OTHMAN uliotokea siku ya tarehe 22 Julai 2017, Dar es salaam Tanzania baada ya kuugua ghafla.


Kama ilivyo mila na desturi kupeana pole ni jambo la uungwana, msiba upo DMV;
555 Thayer Avenue Apt# 209
SilverSpring MD 20910

Kwa taarifa zaidi na maelekezo wasiliana na:
SALMA JJ 240-330-3670
Nuru Kinyemi-202-276-9391
Yacob Kinyemi 202 629 7841
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzio.

No comments: