ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 6, 2017

Rais Dk.Shein aondoka Nchini leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali alipokuwa akiondoka nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud alipokuwa akiondoka chini leo akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara maalum ya wiki mbili.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na ​Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi pamoja ​Viongozi mbali mbali ​  alipokuwa akiondoka ​nchini leo na Ujumbe wake kuelekea Nchini Uingereza kwa ziara ​maalum ya wiki​ mbili (Picha na Ikulu)

No comments: