Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya kiserikali
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli na
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri
wakiondoa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo
yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa
kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiondoa kitambaa kwenye jiwe la Msingi
kuashiria kufunguliwa kwa Barabara Kariua - Kazirambwa yenye urefu wa kilometa
56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,akiwapungia
Mikono kwa Kuwasalimia Wananchi wa Kariua na Viunga vyake Walio jitokeza
kumsikimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Joseph Magufuli wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa
yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Maelfu ya wananchi wa Kariua na Viunga vyake Wakimsikiliza
Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akiwahutubia wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa
yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Wananchi wa Kariua Mkoani
Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa
kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment