Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – George Simbachawene akisikiliza kwa makini taarifa ya wananchi wa Kijiji cha Lukole wakati wa ziara yake katika Jimo la Kibakwe.
Baada ya Waziri wa George Simbachawene (Kulia) kupokea malalamiko ya wananchi wa Kijiji cha Lukole kuhusu shida ya maji alikwenda kwenye bomba la Kijiji kuzungumza na wakina mama ambao ndio waathirika wakubwa wa tatizo hilo na kuwataarifu namna ambavyo amekwishaanza kushughulikia kero hiyo.
Wananchi wa Kijiji cha Kingiti walimsimika WaziriSimbachawene kuwa Chief wa Kigogo na kumkabidhi vifaa Vya Kimila.
Waziri wa Tamisemi George Simbachawene (katikatialiyekaa) akisimikwa kuwa chief wa Kigogo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Kingiti.
Waziri wa Tamisemi Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kingiti wakati wa zaiara yake katika Jimbo la Kibakwe.
NteghenjwaHosseah – Kibakwe
UharibifuwavyanzovyamajinitatizolililokithirikatikamaeneomengiNchini Tanzania hukuwananchiwamaeneohayowakiendeleakushuhudianakuvumiliauharibifuhuoetikwasababutuwahusikanindugu, jamaaamamarafikiwajamiihusika.
Pasipokujaliatharizinazowezakutokeakutokananauharibifuwamazingirahususanvyanzovyamajiwananchiwameendeleakulima, kufuga, kuchungapamojanakuishikatikamaeneohayopasipokuwanashakayoyotenakusababishaukosefuwamajikwajamiiinayotegemeavyanzohivyo.
AtharizaidizimethibitijakatikaKijiji cha ChinyikanaLukolevilovyopo kata yaChinyikakwakukosamajikutokananaUharibifuuliofanywanabaadhiwawananchikatikachanzo cha majikwenyemilimayawotaambachondiochanzokikuu cha majiyamtiririkokwawananchizaidiyaelfusaba.
Hali hiiimepelekeawananchiwavijijihivyovyenyevitongojizaidiyakuminatanokuwekeanazamuyakuchotamajiambapokwa wiki kilaKijijihupatamajikwasikutatunakila kaya huchotaNdoonnekwasikuyazamuyaoambapokiasihichohakiwajawahikuwatoshamahitajiya Kaya.
WananchiwaKijiji cha ChinyikawamepazasautizaokwaWaziriwaNchi – OfisiyaRaisTamisemiMhe. George SimbachawenewakatiwaziarayakeKatikavijijihivyonakulalamikiatatizo la upungufuwamajinaadhawanayopatakutokananahalihiyo.
Mhe. WaziriSimbachaweneameshuhudiafolenindefuyandoozawakinanawakiwabondanikusubiriakupatajapomajiyakupikiachakula cha Familia: Wakinamamahaohushindazaidiyasikunzimabombanihapo au penginekukeshailikuwanauhakikawakupatajapondoomojayamajikwamatumiziyanyumbani.
AkizungumzanawakinamamaMhe. Waziriamesemaanatambuaadhawanayoipatanaamewahakikishiakwambaataanzakutatuachangamotohiyokwakuhakikisha wale wotewanaharibuvyanzovyamajikatikaWilayayaMpwapwawanatiwanguvuninakuchukuliwahatuazakisheria.
“NinajuakwambawaharibifuwavyanzohiviniwatuwenyenguvulakininamimintaongezanguvukwenyeKikosikazi cha Wilayailikuhakikishakwamba wale wotewanaoishikaribunavyanzohivyowanahamishwanamazaoyaoyanaharibiwa, mifugoinaondolewanawanapelekwaMahakamani” alisemaMhe. Simbachawene.
PiaaliongezakuwaFedhazimekwishatengwazaidiyaTsh Mil 160 kwaajiliyaukarabatiyamiundombinuinayotoamajikutokakatikaMilimayaWotakupitiaKingitihadikufikaLukolenaHalmashauriyaMpwapwaimeanzautekelezajiwamradihuuutakaokuwanamanufaakwawananchinaataongezaTsh Mil 13 kwaajiliyakuchimbakisima.
NayeMhandishiwaMajikatikaHalmashauriyaWilayayaMpwapwa Bi. ApoloniaTemuameelezeasababuyaukosefuwamajikatikavijijihivyokuwanipamojanauharibifuwamazingira, ongezeko la watuukilinganishanahapoawalinauchakavuwamiundombinuambayokwasasaimeanzakukarabatiwa.
Mhe. WaziriSimbachaweneameendeleanaziarayakekatikaJimbo la KibakwenakwasikuyatatuametembeleavijijivyaLukole, KingitinaItengeambapoamefanyamikutanoyahadhara, amesikilizakerozawananchipamjanakukaguamiradiyamaendeleo.
No comments:
Post a Comment