Advertisements

Sunday, August 13, 2017

MSIBA CAPE TOWN SOUTH AFRICA NA TANZANIA

Wanajumuiya ya Watanzania wa Cape Town-South Africa! Wanasikitika Kutangaza Kifo ya Ndugu yao, rafiki yao Mpendwa HAJI SINANI au KELVIN ALI MTAMAIKA kilichotokea usiku wa Jumapili{ kwa saa za South Africa} Tarehe 13 August! Tangazo hili liwafikie Ndugu, Jamaa na Marafiki Popote Pale walipo Duniani! Inna lillahi waaina ilyahi raajiun
 { hakika sisi ni waja wa Mola na Kwake tutarejea}


No comments: