ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 30, 2017

VIDEO:MKOA WA RUVUMA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA KWA KUSOMESHA WANAFUNZI WA SAYANSI.

Katika kuboresha huduma za afya mkoa wa ruvuma kupeleka wanafunzi wanaosomea masomo ya sayansi katika vyuo vya afya ili kuboresha huduma za afya mkoani hapo hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya songea POLOLETH MGEMA habri kamili hii hapa video yake

No comments: