ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 30, 2017

WACHEZAJI WAWILI KUTOKA SWEDEN WATAKAO CHEZEA YANGA LABOR DAY COLUMBUS, OHIO WAWASILI

Wachezaji Jameel Silia (kushoto) na Abui Hamis wakiwa katika picha ya pamoja walipokua New York City jiji la wasilala mara tu baada ya kuwasili siku ya Jumanne Aug 29, 2017 kwenye uwanja wa kimataifa wa JFK. Wachezaji hao walipokewa na mratibu wa benchi ya ufundi ya Yanga USA NY Ebra

Wachezaji hao ni sehemu ya wachezaji wa nje ya Marekani wanaotarajiwa kuja kucheza mtanange huo unaosubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Columbus na miji ya jirani, wachezaji hao wanaotarajiwa kutua muda wowote ni Renatus Njohole kutoka Norway, Nicodemus Nhohole kutoka Uingereza na Shaban Amri kutoka Canada ambapo Nico na Rena watachezea Simba na Shaban Yanga.

Yanga wao wameitangaza wachezaji wao watakao kipiga kwenye mechi ya Columbus ambao ni
 
Makipa
Paul Relwechungura kutoka (PA)

Feisal Njenje kutoka (NC)
Simon kutoka (NC)

*Mabeki*
Mully Chomba kutoka (MA)
Adam Yasin kutoka (DC)
Gharibu kutoka (MN)
Liga kutoka (GA)
Eddy kutoka (TX)
Shabani Amri kutoka (Canada)
Dullah Riyami kutoka (DC)
Michael Mngodo kutoka (OH)

Viungo
Jameel Silia kutoka (Sweden)
Abui Hamisi kutoka (Sweden)
Iddi Ligongo kutoka (DC)
Seif Ndossa kutoka (DC)
Inno Geofrey kutoka (NC)
Japhet Masesa kutoka (MN) 
Anthony kutoka (OH)
Jasper kutoka (OH)
Baloteli kutoka (GA)

Washambuliaji
Dullah Makubeli kutoka (FL)
Deo Ngassa kutoka Wichita (KS)
Bilal kutoka (NY)
Hadji Helper kutoka (GA)

Maandalizi ya mpambano huu wa watani wa jadi yanaendelea vizuri na kabla ya mechi hii kutakua na bonanza la mpira wa kikakpu litakalofanyika siku hiyo ya Jimamosi kuanzia saa 8 mchana na wachezaji wa bonanza hilo zaidi ya wachezaji 50 kutoka kila pembe ya Marekani na Canada wamethibitisha kushiriki.

No comments: