Monday, September 11, 2017

MR AND MRS MAKALLA WA ATLANTA, WALIPOJUMUIKA NA RAFIKI ZAO KATIKA SHEREHE YA BABY SHOWER ILIYOFANYIKA HIVI KARIBUNI NYUMBANI KWAO WINDER, GEORGIA.

Agnes Makalla(mama K) katika ubora wake
Mr and Mrs Makalla katika picha ya pamoja na marafiki zao
Makalla akiwa na wageni wake
Baba na mama walivojumuila kukata cake
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Enekazzz mmependeza


Menuzzz



Watoto wakiwa wenye furaha baada ya kula na kucheza vya kutosha


  

Cake(It's a Boy)



Mama kijacho(Agnes) akiwa na Najat








Makalla akimmwagia midolari mama K wake

Rhumba

Zawadi






Jamila na Rose
Lolo akiyarudi

Agnes na wifi ake
Vinywaji vilikuwa vya kuoga
Mrs Mshumbushi(Rose) na Charles 
Dad Kapuya(Makalla) akita katika story mbili tatu na baba la baba
Story zimebamba  
Mr Mshumbushi akifanya yake

Charles Semali akiwa na dada zake

Nyama choma zikifuka moshi tayari kuliwa
Baba mwenye nyumba (Dad kapuya) akiangalia mambo ya choma choma 

Uncle Charles katika ulezi 
Enekaz wa Atlanta mko vizuri


Lolo na Suzy

Hellen na Lolo 
May na Nasra


wacha maneno weka muziki




Jamila
May
Enekaz wakienda kumtunza mama K


Rose


Nasra(mama wawili)

Rachel akitia neno na brothers


                                            ZAWADI, ZAWADI, ZAWADI


No comments: