Friday, September 8, 2017

MWANZILISHI WA HER STRENGTH FOUNDATION ALPHONCINA LYAMUYA



Mwanzilishi wa Her Strength Foundation Alphoncina Lyamuya mwenye makazi yake huko 
Leominster, Massachusetts. US.A
akiwasilisha vifaa vya usafi kwa watoto wa kike (ikiwamo pads na vingine) wakati wa warsha ya kuwezesha watoto wa kike wanaokumbana na matatizo mbalimbali yanayosababisha kukosa shule na kutokufikia elimu ya juu. Project hii imefanyika katika shule mbili (2) za wilayani Kilosa mkoani Morogoro mwishoni wa mwezi wa nane na imewezesha watoto wa kike mia moja kupata vifaa vya usafi na elimu juu ya afya zao, usafi na maendeleo.Kujua zaidi tembelea www.herstrength.org na ukurasa wa facebook wa Her Strength Foundation.
 ALPHONCINA LYAMUYA,
  Pia alishakuwa Miss Tanzania  USA, 1st Runner Up 2016/17. Kwa taswira zaidi nenda soma zaidi.


No comments: