Tuesday, September 5, 2017

NYAMA CHOMA OLD SCHOOL REUNION JUMAPILI

Wadau kutoka DC wakiwakwenye nyama choma siku ya Jumapili Sept 3, 2017 Columbus, Ohio.
 Picha ya pamoja wadau wakiwa kwenye nyama choma siku ya Jumapili Columbus, Ohio.
 Wadau kutoka kila kona ya Marekani wakiwa kwenye nyama choma Columbus Ohio kusherehekea Old School Reunion.
 Picha ya pamoja kwenye nyama choma
 Wadau wakipata ukodak moment.
 Miss Kigoma (pili toka kushoto) na Missy T(wapili toka kulia) waijumuika pamoja na kupata picha ya kumbukumbu na wadau waliohudhuria Old School Reunion Columbus,Ohio.
Jesica (kushoto) na Lilian kutoka DC wakipata picha ya kumbukumbu.
 Ukodak moment.
 Choma nyama Columbus,Ohio.
 Maiss waliokataa kuzeeka Missy T na Miss Kigoma wakipata picha na wadau.

No comments: