ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 1, 2017

SALA YA EID AL-ADH-HA IN COVENTRY

Sala ya Eid  Al Adh-ha iliyofanyika leo Ijumaa Sept 1, 2017 Coventry nchini Uingereza
Watanzania Waislaam wakijumuika na waislam wenzao Coventry nchini Uingerza katika Sala ya Eid Al Adh-ha iliyofanyika mapema leo mjini hapo.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

1 comment:

Anonymous said...

masha Allah masha Allah.Allah aidi kukuzidishiyeni imani zenu thabit na akujalieni msikilizane kila siku na kuwa kitu kimmoja.

Taswirah kama hizi zina leta raha sana moyoni shukran vijimambo.

kullu am wantu bi khair.Eid al adha Mubarak wana conventry.