Assalamu
Alaykum Wa Rahmatullaahi wa Barakaatuhu
Uongozi wa Tanzanian Muslims
Community of Washington DC Metro (TAMCO) una Furaha Kuwakaribisha
WaTanzania Wote katika Sherehe za Eid El Adha (Eid el Hajj) kuadhimisha Mahujjajj kufikia kilele cha Hajj
yao huko Makkah, Saudi Arabia.
Friday,
September 1, 2017
Chai
ya Asubuhi ya Pamoja, Baada ya Salat El Eid pamoja na Dua kuwaombea
Waliotangulia na Sisi wenyewe
Kuanzia Saa Nne Asubuhi – Saa Sita Mchana 10AM-12PM
&
Sherehe za Eid za Jioni, Baraza la Eid pamoja na Nyama Choma
Kuanzia Saa Kumi Jioni Mpaka Saa Tatu Usiku 4PM-9PM
Meadowbrook Local Park
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase, MD 20815
Kwa
Taarifa Zaidi Wasiliana na
Ali Mohamed 301 500 9792
Jasmine
Rubama 410 371 9966 Ally
Mikidadi 201 628 2133 Asha
Nyanganyi 301 793 2833
Iddy
Sandaly 301 613 5165 Asha Hariz 703 624 2409
Labbaik Allah humma labbaik - Here I am O My Lord!
No comments:
Post a Comment