Saturday, September 9, 2017

WAUMINI WAKATOLIKI DMV WAFANYA NYAMA CHOMA YA PAMOJA

Vyuku vikiendelea kuw tayari

Mfugo ukiwa ready kuliwa kwenye nyama choma ya waumini wa katoliki DMV iliyofanyika leoJumamosi Sept 9, 2017 Wheaton Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Andrew akihakiki mfugo umechomeka vyema kwenye nyama choma ya waumini wa katoliki DMV iliyofanyika leoJumamosi Sept 9, 2017 Wheaton Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Mwanadada hayupo nyuma katika kuhakikisha mahindi yamechomeka vilivyo.
 Waumini wa Katoliki DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye nyama choma iliyofanyika leo Jumamosi Sept 9, 2017 Wheaton Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
 
Kwa picha zaidibofya soma zaidi





No comments: