Advertisements

Tuesday, October 10, 2017

FACEBOOK LIVE SESSION WITH DICOTA & MyAfyapal - October 14, 2017.

Karibu ujumuike na Dr. Isaac Maro @drisaacmaro kwenye Facebook Live - kwenye account ya @Dicotausa. Dr. Maro ataongelea ushirikiano kati ya watanzania waliopo nyumbani na Diaspora kuboresha afya nyumbani kutumia mfumo wa digitali. Muhimu kabisa, Dr. Maro ataongelea wapi myAfyapal ilipotoka hadi sasa, mambo ambayo wamefanikiwa kuyafanya katika ushirikiano huo, na mipango yao ya karibuni kabisa itayowanufaisha watanzania kiujumla katika kuboresha afya zao. #dicotahealth  Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA)#myafyapal

Register for #DICOTAHEALTH , 
http://dicotaus.org/dicota-health-forum/

To learn about DICOTA,



No comments: