Jumuiya ya Watanzania waishio Marekani, DICOTA, inapenda kuwaalika Watanzania na
marafaki wa Tanzania katika Jukwaa la mjadala wa Afya utakaofanyika Jumamosi
Novemba 11, 2017, Greenbelt Maryland. Jukwaa hili limeletwa kwa udhamini mkubwa
wa Shirika la Maendeleo. Nyote mnakaribishwa. Kwa maelezo zaidi sikiliza ujumbe ufuatao.
No comments:
Post a Comment