ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 20, 2017

KISOMO CHA AROBAINI YA MPENDWA WETU MZEE KESSY SAKAPALA

Mzee Kessy Sakapala enzi ya uhai wake

Familia ya Sakapala inapenda kukujulisha kisomo cha arobaini ya mpendwa baba yao Mzee Kessy Sakapala kitakachofanyika siku ya Jumamosi hii Oct 21, 2017 saa 11 jioni (5 pm).

Anuani ni

3904 Greencastle Ridge Dr, 
Burtonsville, MD 20688

Kufika kwako ndio kufanikisha shughuli hii ya mpendwa baba yetu.

Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzio.

Kwa taarifa zaidi na naelekezo tafadhali wasiliana na
Danny Kaswanila 301 768 8947
Abuu Sakapala 202 480 4848
Masika Boas 571 234 7035
Ikota Kauga 240 988 0359
Nakie Mvungi 240 535 2961
Zawadi Ukondwa 301 379 2342

No comments: