VIDEO:RC MNDEME AWATAKA WANANCHI KUUVAA WAZALENDO WA NCHI
Kwa kutambua umuhimu wa afya kwa Wananchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEM, imetoa shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya cha KALEMBO kilichopo katika kata ya kihungu wilayani mbinga mkoani ruvuma.
No comments:
Post a Comment